Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Ruthu 1:4 - Swahili Revised Union Version

4 Nao wakaoa wanawake wa Kimoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na jina la wa pili Ruthu. Baada ya kukakaa huko miaka kumi hivi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Vijana hao walioa wasichana wa Kimoabu, Orpa na Ruthu. Baada ya miaka kumi hivi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Vijana hao walioa wasichana wa Kimoabu, Orpa na Ruthu. Baada ya miaka kumi hivi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Vijana hao walioa wasichana wa Kimoabu, Orpa na Ruthu. Baada ya miaka kumi hivi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kuishi huko miaka kumi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Nao wakaoa wanawake Wamoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na wa pili aliitwa Ruthu. Baada ya kama miaka kumi,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Nao wakaoa wanawake wa Kimoabu, jina la mmoja aliitwa Orpa, na jina la wa pili Ruthu. Baada ya kukaa huko miaka kumi hivi,

Tazama sura Nakili




Ruthu 1:4
7 Marejeleo ya Msalaba  

Tena siku zizo hizo nikawaona wale Wayahudi waliokuwa wameoa wanawake wa Ashdodi, na Amoni, na Moabu;


Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;


Mwamoni wala Mmoabi wasiingie katika mkutano wa BWANA; wala hata kizazi cha kumi mtu wao asiingie katika mkutano wa BWANA milele;


binti yako usimwoze kwao wala mtoto wako wa kiume kuoa kwao.


Akafa Elimeleki, mumewe Naomi; na yule mwanamke akasalia na wanawe wawili.


wote wawili Maloni na Kilioni wakafa; na huyo mwanamke akawa amefiwa na wanawe wawili, na mumewe pia.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo