Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Obadia 1:8 - Swahili Revised Union Version

8 Siku hiyo, je! Sitawaangamiza watu wenye akili katika Edomu, na wenye ufahamu katika kilima cha Esau? Asema BWANA.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Mimi Mwenyezi-Mungu nakuuliza hivi: Je, siku hiyo, sitawaangamiza wenye hekima kutoka Edomu na wenye maarifa kutoka mlima Esau?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Mimi Mwenyezi-Mungu nakuuliza hivi: Je, siku hiyo, sitawaangamiza wenye hekima kutoka Edomu na wenye maarifa kutoka mlima Esau?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Mimi Mwenyezi-Mungu nakuuliza hivi: je, siku hiyo, sitawaangamiza wenye hekima kutoka Edomu na wenye maarifa kutoka mlima Esau?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Katika siku hiyo,” asema Mwenyezi Mungu, “je, sitaangamiza wenye hekima wa Edomu, hao wenye ufahamu katika milima ya Esau?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Katika siku hiyo,” asema bwana, “je, sitaangamiza watu wenye hekima wa Edomu, watu wenye ufahamu katika milima ya Esau?

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Siku hiyo, je! Sitawaangamiza watu wenye akili katika Edomu, na wenye ufahamu katika kilima cha Esau? Asema BWANA.

Tazama sura Nakili




Obadia 1:8
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA huyabatilisha mashauri ya mataifa, Huitangua mipango ya watu.


Wakuu wa Soani wamekuwa wapumbavu kabisa; washauri wenye hekima wa Farao, ushauri wao umepumbazika; mwawezaje kumwambia Farao, Mimi ni mwana wa wenye hekima, ni mwana wa wafalme wa zamani?


Wako wapi, basi, watu wako wenye hekima? Na wakuambie sasa; na wajue mambo aliyokusudia BWANA wa majeshi juu ya Misri.


Na roho yao Misri itaondolewa, nami nitaiharibu mipango yao, nao watakwenda kwa sanamu zao, na kwa waganga, na kwa wapiga ramli na kwa wachawi.


kwa sababu hiyo mimi nitafanya tena kazi ya ajabu kati ya watu hawa, kazi ya ajabu na mwujiza; na akili za watu wao wenye akili zitapotea, na ufahamu wa wenye busara wao utafichwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo