Nehemia 7:71 - Swahili Revised Union Version71 Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa wakatoa, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu elfu ishirini, na mane za fedha elfu mbili na mia mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema71 Baadhi ya wakuu wa koo walitoa kilo 168 za dhahabu, na kilo 1,250 za fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND71 Baadhi ya wakuu wa koo walitoa kilo 168 za dhahabu, na kilo 1,250 za fedha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza71 Baadhi ya wakuu wa koo walitoa kilo 168 za dhahabu, na kilo 1,250 za fedha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu71 Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni elfu ishirini za dhahabu, na mane elfu mbili na mia mbili za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu71 Baadhi ya viongozi wa jamaa walikabidhi kwenye hazina darkoni 20,000 za dhahabu, na mane 2,200 za fedha kwa ajili ya kazi hiyo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI71 Na baadhi ya wakuu wa mbari za mababa wakatoa, na kutia katika hazina ya kazi hiyo, darkoni za dhahabu elfu ishirini, na mane za fedha elfu mbili na mia mbili. Tazama sura |