Nehemia 6:15 - Swahili Revised Union Version15 Basi huo ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Basi, ukuta ulikamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilichukua muda wa siku hamsini na mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Basi, ukuta ulikamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilichukua muda wa siku hamsini na mbili. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Basi, ukuta ulikamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli; nayo ilichukua muda wa siku hamsini na mbili. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli; kazi ilichukua siku hamsini na mbili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Basi ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano mwezi wa Eluli, kazi ambayo ilichukua siku hamsini na mbili. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Basi huo ukuta ukakamilika siku ya ishirini na tano ya mwezi wa Eluli, katika muda wa siku hamsini na mbili. Tazama sura |