Nehemia 4:6 - Swahili Revised Union Version6 Basi tukaujenga ukuta; nao ukuta wote ukaunganishwa kiasi cha nusu ya kimo chake; maana watu walikuwa na moyo wa kufanya kazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Lakini tuliendelea na ujenzi wa ukuta mpaka ukafikia nusu yake kwa sababu watu walikuwa wamedhamiria kwa dhati. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Lakini tuliendelea na ujenzi wa ukuta mpaka ukafikia nusu yake kwa sababu watu walikuwa wamedhamiria kwa dhati. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Lakini tuliendelea na ujenzi wa ukuta mpaka ukafikia nusu yake kwa sababu watu walikuwa wamedhamiria kwa dhati. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Basi tuliujenga upya ukuta hadi wote ukafikia nusu ya kimo chake, kwa kuwa watu walifanya kazi kwa moyo wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Basi tuliujenga upya ukuta mpaka wote ukafikia nusu ya kimo chake, kwa kuwa watu walifanya kazi kwa moyo wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Basi tukaujenga ukuta; nao ukuta wote ukaunganishwa kiasi cha nusu ya kimo chake; maana watu walikuwa na moyo wa kufanya kazi. Tazama sura |