Nehemia 13:3 - Swahili Revised Union Version3 Ikawa walipoisikia Torati, wakawatenga Israeli na umati wa watu waliochanganyika nao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Watu wa Israeli waliposikia sheria hiyo waliwatenga watu wa mataifa mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Watu wa Israeli waliposikia sheria hiyo waliwatenga watu wa mataifa mengine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Watu wa Israeli waliposikia sheria hiyo waliwatenga watu wa mataifa mengine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Watu waliposikia sheria hii, waliwatenga watu wote wasio Waisraeli waliokuwa wa uzao wa kigeni. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Ikawa walipoisikia Torati, wakawatenga Israeli na umati wa watu waliochanganyika nao. Tazama sura |