Nehemia 13:20 - Swahili Revised Union Version20 Basi wenye biashara na wachuuzi wa bidhaa za kila namna wakalala nje ya Yerusalemu mara moja au mbili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Mara mbili au tatu hivi wafanyabiashara waliokuwa wakiuza bidhaa za aina mbalimbali iliwabidi kulala nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Mara mbili au tatu hivi wafanyabiashara waliokuwa wakiuza bidhaa za aina mbalimbali iliwabidi kulala nje ya mji. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Mara mbili au tatu hivi wafanyabiashara waliokuwa wakiuza bidhaa za aina mbalimbali iliwabidi kulala nje ya mji. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Mara moja au mbili wachuuzi na wauzaji wa bidhaa za aina zote walilala usiku nje ya mji wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Mara moja au mbili wachuuzi na wauzaji wa bidhaa za aina zote walilala usiku nje ya mji wa Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Basi wenye biashara na wachuuzi wa bidhaa za kila namna wakalala nje ya Yerusalemu mara moja au mbili. Tazama sura |