Nehemia 13:12 - Swahili Revised Union Version12 Ndipo Yuda wote walipoleta zaka za nafaka, na mvinyo, na mafuta, kwenye hazina. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za nafaka, divai na mafuta kwenye ghala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za nafaka, divai na mafuta kwenye ghala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Kisha, watu wote wa Israeli, wakaanza tena kuleta zaka zao za nafaka, divai na mafuta kwenye ghala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Yuda wote walileta zaka za nafaka, divai mpya na mafuta kwenye ghala. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Ndipo Yuda wote walipoleta zaka za nafaka, na mvinyo, na mafuta, kwenye hazina. Tazama sura |