Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Nehemia 11:8 - Swahili Revised Union Version

8 Na baada yake Gabai, Salai, watu mia tisa ishirini na wanane.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Baada ya huyo walikuwako Gabai na Salai. Jumla yao 928.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 na wafuasi wake, Gabai na Salai: wanaume mia tisa ishirini na nane (928).

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 na wafuasi wake, Gabai na Salai watu 928.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Na baada yake Gabai, Salai, watu mia tisa ishirini na wanane.

Tazama sura Nakili




Nehemia 11:8
3 Marejeleo ya Msalaba  

na ndugu zao, kulingana na vizazi vyao; watu mia tisa na hamsini na sita. Watu hao wote ndio waliokuwa wakuu wa mbari za baba zao, kwa kadiri ya mbari za baba zao.


Na wana wa Benyamini ndio hawa; Salu, mwana wa Meshulamu, mwana wa Yoedi, mwana wa Pedaya, mwana wa Kolaya, mwana wa Maaseva, mwana wa Ithieli, mwana wa Yeshaya.


Na Yoeli, mwana wa Zikri, alikuwa msimamizi wao; na Yuda, mwana wa Hasenua, alikuwa wa pili juu ya mji.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo