Nahumu 3:3 - Swahili Revised Union Version3 mpanda farasi akipanda, na upanga ukimetameta, na mkuki ukimeremeta; na wingi wa waliouawa, na rundo kubwa la mizoga; mizoga isiyo na mwisho; wanajikwaa juu ya mizoga yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Wapandafarasi wanashambulia, panga na mikuki inametameta; waliouawa hawana idadi, maiti wengi sana; watu wanajikwaa juu ya maiti! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Wapandafarasi wanashambulia, panga na mikuki inametameta; waliouawa hawana idadi, maiti wengi sana; watu wanajikwaa juu ya maiti! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Wapandafarasi wanashambulia, panga na mikuki inametameta; waliouawa hawana idadi, maiti wengi sana; watu wanajikwaa juu ya maiti! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Wapanda farasi wanaenda mbio, panga zinametameta, na mikuki inang’aa! Majeruhi wengi, malundo ya maiti, idadi ya miili isiyohesabika, watu wanajikwaa juu ya mizoga: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Wapanda farasi wanaenda mbio, panga zinameremeta, na mikuki inang’aa! Majeruhi wengi, malundo ya maiti, idadi kubwa ya miili isiyohesabika, watu wanajikwaa juu ya mizoga: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 mpanda farasi akipanda, na upanga ukimetameta, na mkuki ukimeremeta; na wingi wa waliouawa, na rundo kubwa la mizoga; mizoga isiyo na mwisho; wanajikwaa juu ya mizoga yao. Tazama sura |