Nahumu 3:1 - Swahili Revised Union Version1 Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Ole wako mji wa mauaji! Umejaa udanganyifu mtupu na nyara tele, usiokoma kamwe kuteka nyara. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ole wa mji unaomwaga damu, uliojaa uongo, uliojaa nyara, na usiokosa mateka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ole wa mji umwagao damu, uliojaa uongo, umejaa nyara, usiokosa kuwa na vitu vya kuteka nyara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ole wake mji wa damu! Umejaa mambo ya uongo na unyang'anyi; mateka hayaondoki. Tazama sura |