Nahumu 1:7 - Swahili Revised Union Version7 BWANA ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Mwenyezi-Mungu ni mwema, yeye ni ngome ya usalama wakati wa taabu. Yeye huwalinda wote wanaokimbilia usalama kwake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Mwenyezi Mungu ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 bwana ni Mwema, kimbilio wakati wa taabu. Huwatunza wale wanaomtegemea, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 BWANA ni mwema, ni ngome siku ya taabu; naye huwajua hao wamkimbiliao. Tazama sura |
itasikika tena sauti ya furaha na sauti ya shangwe, sauti ya bwana arusi na sauti ya bibi arusi, sauti yao wasemao Mshukuruni BWANA wa majeshi, maana BWANA ni mwema, rehema zake ni za milele; na sauti zao waletao sadaka za shukrani nyumbani kwa BWANA. Kwa kuwa nitawarudisha wafungwa wa nchi hii kama kwanza, asema BWANA.