Nahumu 1:1 - Swahili Revised Union Version1 Ufunuo juu ya Ninawi. Kitabu cha maono aliyoyaona Nahumu, Mwelkoshi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kauli ya Mungu juu ya Ninewi. Kitabu cha maono ya Nahumu wa Elkoshi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kauli ya Mungu juu ya Ninewi. Kitabu cha maono ya Nahumu wa Elkoshi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kauli ya Mungu juu ya Ninewi. Kitabu cha maono ya Nahumu wa Elkoshi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Neno la unabii kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono cha Nahumu Mwelkoshi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Neno alilosema Mungu kuhusu Ninawi. Kitabu cha maono cha Nahumu, Mwelkoshi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Ufunuo juu ya Ninawi. Kitabu cha maono aliyoyaona Nahumu, Mwelkoshi. Tazama sura |