Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mika 7:20 - Swahili Revised Union Version

20 Wewe utamtimilizia Yakobo kweli yako, na Abrahamu rehema zako, ulizowaapia baba zetu tangu siku za kale.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Utaonesha uaminifu wako na rehema zako kwa wazawa wa Abrahamu na wa Yakobo, kama ulivyowaahidi wazee wetu tangu zamani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, nawe utamwonesha Ibrahimu rehema, kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu siku za kale.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Utakuwa wa kweli kwa Yakobo, nawe utamwonyesha Ibrahimu rehema, kama ulivyowaahidi kwa kiapo baba zetu siku za kale.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Wewe utamtimilizia Yakobo kweli yako, na Abrahamu rehema zako, ulizowaapia baba zetu tangu siku za kale.

Tazama sura Nakili

Mika 7:20
17 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Na atukuzwe BWANA, Mungu wa bwana wangu Abrahamu, ambaye hakuacha rehema zake na kweli yake kwa bwana wangu. BWANA akaniongoza mimi nami njiani hata nyumba ya nduguze bwana wangu.

mimi sistahili hata kidogo hizo rehema zote na kweli yote uliyomfanyia mtumwa wako; maana nilivuka mto huo wa Yordani na fimbo yangu tu, na sasa nimekuwa makundi mawili.

Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli.

Na itakuwa, kwa sababu mnazisikiliza hukumu hizi, na kuzishika na kuzitenda, basi BWANA, Mungu wako, atakutimilizia agano na rehema aliyowaapia baba zako;

bali kwa sababu BWANA anawapenda, na kwa sababu alitaka kukitimiza kiapo chake alichowaapia baba zenu, ndiyo sababu BWANA akawatoa kwa mkono wa nguvu, akawakomboa katika nyumba ya utumwa, katika mkono wa Farao, mfalme wa Misri.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo