Mwanzo 9:14 - Swahili Revised Union Version14 Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kila nitakapoifunika dunia kwa mawingu, na huo upinde wa mvua utakapoonekana katika mawingu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukatokea mawinguni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wakati wowote ninapotanda mawingu juu ya dunia na upinde wa mvua ukijitokeza mawinguni, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni, Tazama sura |