Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 9:13 - Swahili Revised Union Version

13 Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 naweka upinde wangu mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano kati yangu na dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya agano nifanyalo kati yangu na dunia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Nimeweka upinde wangu wa mvua mawinguni, nao utakuwa ishara ya Agano nifanyalo kati yangu na dunia.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Mimi nauweka upinde wangu winguni, nao utakuwa ni ishara ya agano kati yangu na nchi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 9:13
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mungu akasema, Hii ndiyo ishara ya agano nifanyalo kati yangu na ninyi, na kila kiumbe hai kilichoko pamoja nanyi, kwa vizazi vyote hata milele;


Hata itakuwa nikitanda mawingu juu ya nchi, upinde utaonekana winguni,


Kama kuonekana kwa upinde wa mvua, ulio katika mawingu siku ya mvua, ndivyo kulivyokuwa kuonekana kwa mwangaza ule pande zote. Ndivyo kulivyokuwa kuonekana kwake mfano huo wa utukufu wa BWANA. Nami nilipoona nilianguka kifudifudi, nikasikia sauti ya mmoja anenaye.


Kisha nikaona malaika mwingine mwenye nguvu akishuka kutoka mbinguni, amevikwa wingu; na upinde wa mvua juu ya kichwa chake; na uso wake ulikuwa kama jua, na miguu yake kama nguzo za moto.


na yeye aliyeketi alionekana mithili ya jiwe la yaspi na akiki, na upinde wa mvua ulikizunguka kile kiti cha enzi, ukionekana mithili ya zumaridi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo