Mwanzo 8:5 - Swahili Revised Union Version5 Maji yakapungukapunguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Maji yakaendelea kupungua polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Maji yakaendelea kupungua polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Maji yakaendelea kupungua polepole, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi. Siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Maji yakaendelea kupungua hadi mwezi wa kumi, na siku ya kwanza ya mwezi wa kumi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Maji yakapungukapunguka hata mwezi wa kumi; mwezi huo wa kumi, siku ya kwanza ya mwezi, vilele vya milima vikaonekana. Tazama sura |