Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 7:15 - Swahili Revised Union Version

15 Waliingia katika safina alimokuwa Nuhu, wawili wawili, wa kila chenye mwili kilicho na pumzi ya uhai ndani yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Waliingia ndani ya safina pamoja na Noa wiliwawili wa kila aina ya viumbe hai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Waliingia ndani ya safina pamoja na Noa wiliwawili wa kila aina ya viumbe hai.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Waliingia ndani ya safina pamoja na Noa wiliwawili wa kila aina ya viumbe hai.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Viumbe vyote vyenye pumzi ya uhai vikaja kwa Nuhu viwili viwili, vikaingia katika safina.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Viumbe vyote vyenye pumzi ya uhai ndani yake vikaja kwa Nuhu viwili viwili, vikaingia katika safina.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Waliingia katika safina alimokuwa Nuhu, wawili wawili, wa kila chenye mwili kilicho na pumzi ya uhai ndani yake.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 7:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

wao na kila mnyama wa mwitu kwa jinsi yake, na kila mnyama wa kufugwa kwa jinsi yake, na kila kitambaacho, chenye kutambaa juu ya nchi, kwa jinsi yake, na kirukacho kwa jinsi yake, kila ndege wa namna yoyote.

Na walioingia, waliingia wa kike na wa kiume, wa kila kitu chenye mwili, kama vile alivyomwamuru Mungu; BWANA akamfungia.

wakaingia katika safina alimo Nuhu, wawili wawili, wa kike na wa kiume, kama vile Mungu alivyomwamuru Nuhu.

Mbwamwitu atakaa pamoja na mwana-kondoo, na chui atalala pamoja na mwana-mbuzi; ndama na mwanasimba na ng'ombe wanono watakuwa pamoja, na mtoto mdogo atawaongoza.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo