Mwanzo 50:22 - Swahili Revised Union Version22 Yusufu Akakaa katika Misri, yeye na nyumba ya baba yake. Yusufu Akaishi miaka mia moja na kumi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Yosefu akaendelea kukaa katika nchi ya Misri pamoja na jamaa yote ya baba yake. Aliishi kwa muda wa miaka 110. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Yusufu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka mia moja na kumi, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Yusufu akakaa katika nchi ya Misri, yeye pamoja na jamaa yote ya baba yake. Akaishi miaka 110, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Yusufu Akakaa katika Misri, yeye na nyumba ya baba yake. Yusufu Akaishi miaka mia moja na kumi. Tazama sura |