Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 50:2 - Swahili Revised Union Version

2 Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Kisha, akawaagiza waganga wake wampake Israeli, baba yake, dawa ili asioze, nao wakafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Ndipo Yusufu akawaagiza matabibu waliokuwa wakimhudumia, wamtie baba yake Israeli dawa asioze. Hivyo matabibu wakamtia dawa asioze,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Ndipo Yusufu akawaagiza matabibu waliokuwa wakimhudumia, wamtie baba yake Israeli dawa ili asioze. Hivyo matabibu wakamtia dawa asioze,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Yusufu akawaagiza watumishi wake waganga wampake baba yake dawa asioze. Waganga wakampaka dawa Israeli.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 50:2
10 Marejeleo ya Msalaba  

Esau akamchukia Yakobo kwa ajili ya ile baraka babaye aliyombariki. Esau akasema moyoni mwake, Siku za kumlilia baba yangu zinakaribia, ndipo nitakapomwua ndugu yangu Yakobo.


Yusufu akamwangukia babaye usoni, akamlilila, akambusu.


Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia moja na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri.


Wakamzika katika makaburi yake mwenyewe, aliyojichimbia katika mji wa Daudi, wakamlaza juu ya kitanda kilichojazwa manukato, na kila namna ya machanganyiko ya hao mafundi wa dawa; wakawasha moto mkubwa sana kwa heshima yake.


Maana kwa kunimwagia mwili wangu marhamu hiyo, ametenda hivyo ili kuniweka tayari kwa maziko yangu.


Ametenda alivyoweza; ametangulia kuupaka mwili wangu marhamu kwa ajili ya maziko.


Na sabato ilipokwisha kupita, Mariamu Magdalene na Mariamu mamaye Yakobo, na Salome walinunua manukato wapate kwenda kumpaka.


Siku ya kwanza ya juma, ilipoanza kupambazuka, walikwenda kaburini, wakiyaleta manukato waliyoweka tayari.


Basi Yesu alisema, Mwache aiweke kwa siku ya maziko yangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo