Mwanzo 5:2 - Swahili Revised Union Version2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Aliwaumba mwanamume na mwanamke, kisha akawabariki na kuwapa jina “Binadamu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “Binadamu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “mwanadamu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 mwanamume na mwanamke aliwaumba, akawabariki akawaita jina lao Adamu, siku ile walipoumbwa. Tazama sura |