Mwanzo 5:11 - Swahili Revised Union Version11 Siku zote za Enoshi ni miaka mia tisa na mitano, akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Enoshi alifariki akiwa na umri wa miaka 905. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Enoshi aliishi jumla ya miaka mia tisa na tano (905), ndipo akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Enoshi aliishi jumla ya miaka 905, ndipo akafa. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Siku zote za Enoshi ni miaka mia tisa na mitano, akafa. Tazama sura |