Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 49:5 - Swahili Revised Union Version

5 Simeoni na Lawi ni ndugu; Panga zao ni silaha za jeuri.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 “Simeoni na Lawi ni ndugu: Silaha zao wanatumia kufanya ukatili,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 “Simeoni na Lawi ni ndugu: Silaha zao wanatumia kufanya ukatili,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 “Simeoni na Lawi ni ndugu: silaha zao wanatumia kufanya ukatili,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 “Simeoni na Lawi ni ndugu: panga zao ni silaha za jeuri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 “Simeoni na Lawi ni wana ndugu: panga zao ni silaha za jeuri.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Simeoni na Lawi ni ndugu; Panga zao ni silaha za jeuri.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 49:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yeye naye aliye mvivu katika kazi yake, Ni ndugu yake aliye mharibifu.


Tena mpakani mwa Benyamini, toka upande wa mashariki hata upande wa magharibi; Simeoni, fungu moja.


Na katika kabila la wana wa Simeoni, Shemueli mwana wa Amihudi.


Kisha wana wa Israeli waliwapa Walawi kwa kura miji hiyo pamoja na mbuga zake za malisho, kama BWANA alivyoamuru kwa mkono wa Musa.


Wa kabila la Simeoni elfu kumi na mbili. Wa kabila la Lawi elfu kumi na mbili. Wa kabila la Isakari elfu kumi na mbili.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo