Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 48:3 - Swahili Revised Union Version

3 Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Yakobo akamwambia Yosefu, “Mungu mwenye nguvu alinitokea nilipokuwa kule Luzu katika nchi ya Kanaani, akanibariki.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Yakobo akamwambia Yusufu, “Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani. Akanibariki,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Yakobo akamwambia Yusufu, “Mwenyezi Mungu alinitokea huko Luzu katika nchi ya Kanaani, huko akanibariki,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki,

Tazama sura Nakili




Mwanzo 48:3
12 Marejeleo ya Msalaba  

Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu.


Nitakufanya uwe na uzao mwingi sana, nami nitakufanya kuwa mataifa, na wafalme watatoka kwako.


Na Mungu Mwenyezi, akubariki, akuzidishe, na kukuongeza, ili uwe mtu wa watu wengi.


Naye Yakobo akaarifiwa ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda.


Naam, kwa Mungu wa baba yako atakayekusaidia; Kwa baraka za juu mbinguni. Baraka za vilindi vilivyo chini, Baraka za maziwa, na za mimba.


nami nilimtokea Abrahamu, na Isaka, na Yakobo, kama Mungu Mwenyezi, bali kwa jina langu YEHOVA sikujulikana kwao.


Naam, alishindana na malaika Akashinda; alilia, na kumsihi; Alimwona huko Betheli, naye akasema nasi huko;


ukiwa na utukufu wa Mungu, na mwangaza wake ulikuwa mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi, safi kama bilauri;


Kisha watu wa ukoo wa Yusufu wakatuma watu waende kuupeleleza Betheli. (Jina la mji huo hapo kwanza ulikuwa ukiitwa Luzu.)


Tufuate:

Matangazo


Matangazo