Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 48:2 - Swahili Revised Union Version

2 Naye Yakobo akaarifiwa ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Yakobo alipofahamishwa kwamba mwanawe Yosefu amefika kumwona, akajitahidi kuinuka, akaketi kitandani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Yakobo alipofahamishwa kwamba mwanawe Yosefu amefika kumwona, akajitahidi kuinuka, akaketi kitandani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Yakobo alipofahamishwa kwamba mwanawe Yosefu amefika kumwona, akajitahidi kuinuka, akaketi kitandani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Yakobo alipoambiwa, “Mwanao Yusufu amekuja kukuona,” Israeli akajitia nguvu, akaketi kitandani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Yakobo alipoambiwa, “Mwanao Yusufu amekujia kukuona,” Israeli akakusanya nguvu zake, akaketi kitandani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Naye Yakobo akaarifiwa ya kwamba, Angalia, mwanao Yusufu anakuja kwako. Israeli akajitia nguvu, akaketi juu ya kitanda.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 48:2
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ikawa, baada ya mambo hayo, Yusufu akaambiwa, Tazama, baba yako ni mgonjwa; akawatwaa wanawe wawili, Manase na Efraimu, pamoja naye.


Yakobo akamwambia Yusufu, Mungu Mwenyezi alinitokea huko Luzu, katika nchi ya Kanaani, akanibariki,


Nikawaeleza habari ya mkono wa Mungu wangu ulivyokuwa mwema juu yangu; pia na maneno ya mfalme aliyoniambia. Nao wakasema, Haya! Na tuondoke tukajenge. Basi wakaitia mikono yao nguvu kwa kazi hiyo njema.


BWANA atamtegemeza alipo mgonjwa kitandani. Katika ugonjwa wake unamponya maradhi yake yote.


Mwanangu, kama moyo wako una hekima, Moyo wangu utafurahi, naam, moyo wangu;


Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.


Lakini mwagize Yoshua, mtie moyo na nguvu, umtie na nguvu; kwani ndiye atakayevuka mbele ya watu hawa, na nchi utakayoiona atawarithisha yeye.


Ndipo Yonathani, mwana wa Sauli, akainuka akamwendea Daudi huko Horeshi, akamtia nguvu mkono wake katika Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo