Mwanzo 47:2 - Swahili Revised Union Version2 Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Yosefu alikuwa amewachukua ndugu zake watano, akawajulisha kwa Farao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Akawachagua ndugu zake watano na kuwapeleka mbele ya Farao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Akachagua ndugu zake watano na kuwaonyesha kwa Farao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Akatwaa watu watano miongoni mwa nduguze, akawasimamisha mbele ya Farao. Tazama sura |