Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 44:5 - Swahili Revised Union Version

5 Je! Kikombe hiki, sicho anyweacho bwana wangu? Naye hufanya uaguzi kwacho. Mmefanya vibaya kwa kufanya hivi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 yeye hunywa nacho na kukitumia kupiga ramli? Mmekosa sana kwa kufanya hivyo!’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 yeye hunywa nacho na kukitumia kupiga ramli? Mmekosa sana kwa kufanya hivyo!’”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 yeye hunywa nacho na kukitumia kupiga ramli? Mmekosa sana kwa kufanya hivyo!’”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Je, kikombe hiki sicho anachonywea bwana wangu, na pia hukitumia kwa kubashiri? Hili ni jambo ovu mlilolitenda.’ ”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Je, kikombe hiki sicho anachonywea bwana wangu na pia hukitumia kwa kutabiri mambo yajayo? Hili ni jambo ovu mlilolitenda.’ ”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Je! Kikombe hiki, sicho anyweacho bwana wangu? Naye hufanya uaguzi kwacho. Mmefanya vibaya kwa kufanya hivi.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 44:5
7 Marejeleo ya Msalaba  

Labani akamwambia, Iwapo nimeona fadhili machoni pako, kaa, maana nimetambua ya kwamba BWANA amenibariki kwa ajili yako.


Yusufu akawaambia, Ni tendo gani hili mlilolitenda? Hamkujua ya kwamba mtu kama mimi naweza kufanya uaguzi?


Akawafuata, akawapata, na kuwaambia maneno hayo.


Wale watu wakaangalia sana, wakafanya haraka kulishika neno hilo kama ni nia yake, wakasema, Ndugu yako, Ben-hadadi. Akasema, Haya! Nendeni mkamlete. Ndipo Ben-hadadi akamtokea, naye akampandisha garini.


Akampitisha mwanawe motoni, akatazama bao, akafanya uganga, akajishughulisha na hao wenye pepo wa utambuzi, na wachawi; akafanya mabaya mengi machoni pa BWANA, hata kumkasirisha.


Msile kitu chochote pamoja na damu yake; wala msifanye kuloga, wala kutumia utambuzi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo