Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 44:3 - Swahili Revised Union Version

3 Asubuhi kulipopambazuka, hao watu wakapewa ruhusa, wao na punda wao.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Kulipopambazuka wakaruhusiwa kuondoka pamoja na punda wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Kulipopambazuka wakaruhusiwa kuondoka pamoja na punda wao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Kulipopambazuka wakaruhusiwa kuondoka pamoja na punda wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Kulipopambazuka, hao watu wakaruhusiwa kuondoka pamoja na punda wao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Kulipopambazuka, hao watu wakaruhusiwa kuondoka pamoja na punda zao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Asubuhi kulipopambazuka, hao watu wakapewa ruhusa, wao na punda wao.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 44:3
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na kikombe changu, kikombe kile cha fedha, ukitie kinywani mwa gunia la yule mdogo pamoja na fedha ya nafaka yake. Akafanya kama vile alivyomwambia Yusufu.


Na walipotoka mjini, kabla hawajaendelea sana, Yusufu akamwambia yule msimamizi wa nyumba yake, Ondoka, uwafuate watu hawa, nawe utakapowapata, waambie, Kwa nini mmelipa mabaya kwa mema?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo