Mwanzo 43:6 - Swahili Revised Union Version6 Israeli akasema, Mbona mmenitendea vibaya hata mkamwarifu mtu yule ya kwamba mna ndugu mwingine? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Israeli akasema, “Kwa nini mkanitia taabuni kwa kumwambia huyo mtu kwamba mnaye ndugu mwingine?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Israeli akasema, “Kwa nini mkanitia taabuni kwa kumwambia huyo mtu kwamba mnaye ndugu mwingine?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Israeli akasema, “Kwa nini mkanitia taabuni kwa kumwambia huyo mtu kwamba mnaye ndugu mwingine?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Israeli akauliza, “Kwa nini mkaniletea taabu hii kwa kumwambia yule mtu mlikuwa na ndugu mwingine?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Israeli akauliza, “Kwa nini mkaniletea taabu hii kwa kumwambia yule mtu mlikuwa na ndugu mwingine?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Israeli akasema, Mbona mmenitendea vibaya hata mkamwarifu mtu yule ya kwamba mna ndugu mwingine? Tazama sura |