Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 43:4 - Swahili Revised Union Version

4 Ukimtuma ndugu yetu pamoja nasi, tutashuka na kukununulia chakula.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Kama utakubali ndugu yetu kwenda pamoja nasi, basi, tutakwenda kukununulia chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Kama utakubali ndugu yetu kwenda pamoja nasi, basi, tutakwenda kukununulia chakula.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Kama utakubali ndugu yetu kwenda pamoja nasi, basi, tutakwenda kukununulia chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Kama utakubali ndugu yetu aende pamoja nasi, tutaenda kuwanunulia chakula.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Kama utakubali ndugu yetu aende pamoja nasi, tutakwenda kuwanunulia chakula.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

4 Ukimtuma ndugu yetu pamoja nasi, tutashuka na kukununulia chakula.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 43:4
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akasema, Angalia, nimesikia ya kuwa kuna nafaka Misri; shukeni huko mkatununulie chakula, tupate kuishi wala tusife.


Ikawa walipokwisha kula nafaka waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo.


Yuda akamwambia akisema, Yule mtu alituagizia sana akisema, Hamtaniona uso wangu, ndugu yenu asipokuwa pamoja nanyi.


Ila usipomtuma, hatushuki, maana mtu yule alituambia, Hamtaniona uso wangu, ndugu yenu asipokuwa pamoja nanyi.


Tukasema, Hatuwezi kwenda; ndugu yetu mdogo akiwapo pamoja nasi, tutashuka, maana hatutaweza kuuona uso wa mtu huyo, ndugu yetu mdogo asipokuwa pamoja nasi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo