Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 43:31 - Swahili Revised Union Version

31 Akanawa uso, akatoka, akajizuia, akasema, Leteni chakula.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Baada ya kunawa uso wake, alitoka huku akijikaza, akaamuru chakula kiletwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Baada ya kunawa uso wake, alitoka huku akijikaza, akaamuru chakula kiletwe.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Baada ya kunawa uso wake, alitoka huku akijikaza, akaamuru chakula kiletwe.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Baada ya kunawa uso wake, akarudi; huku akijizuia kulia, akasema, “Pakueni chakula.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Baada ya kunawa uso wake, akatoka nje na huku akijizuia akasema, “Pakueni chakula.”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 43:31
5 Marejeleo ya Msalaba  

Hapo Yusufu hakuweza kujizuia mbele yao wote waliosimama karibu naye. Akapiga kelele, na kusema, Mwondoeni kila mtu mbele yangu. Wala hakusimama mtu pamoja naye, Yusufu alipojitambulisha kwa nduguze.


Katika wingi wa maneno hapakosi kuwa na maovu; Bali yeye azuiaye midomo yake hufanya akili.


Siku nyingi nimenyamaza kimya; nimenyamaza, nikajizuia; sasa nitapiga kelele kama mwanamke aliye katika kuzaa; nitaugua na kutweta pamoja.


BWANA asema hivi, Zuia sauti yako, usilie, na macho yako yasitoke machozi; Maana kazi yako itapata thawabu, nao watakuja tena toka nchi ya adui; Ndivyo asemavyo BWANA.


Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme uongo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo