Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 43:2 - Swahili Revised Union Version

2 Ikawa walipokwisha kula nafaka waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Baada ya kile chakula walichokuwa wamenunua kutoka Misri kumalizika, Yakobo akawaambia wanawe, “Nendeni tena Misri, mkatununulie chakula kidogo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Baada ya kile chakula walichokuwa wamenunua kutoka Misri kumalizika, Yakobo akawaambia wanawe, “Nendeni tena Misri, mkatununulie chakula kidogo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Baada ya kile chakula walichokuwa wamenunua kutoka Misri kumalizika, Yakobo akawaambia wanawe, “Nendeni tena Misri, mkatununulie chakula kidogo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Hivyo wakati walikuwa wamemaliza kula nafaka yote waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, “Rudini Misri mkatununulie chakula kingine.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Hivyo wakati walikuwa wamemaliza kula nafaka yote waliyoileta kutoka Misri, Yakobo baba yao akawaambia, “Rudini Misri mkatununulie chakula kingine zaidi.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

2 Ikawa walipokwisha kula nafaka waliyoileta kutoka Misri, baba yao akawaambia, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 43:2
11 Marejeleo ya Msalaba  

Njaa ikawa kali katika nchi.

Wakamwambia, Tazama, bwana, kweli tulishuka mara ya kwanza ili tununue chakula.

Yuda akamwambia akisema, Yule mtu alituagizia sana akisema, Hamtaniona uso wangu, ndugu yenu asipokuwa pamoja nanyi.

Ukimtuma ndugu yetu pamoja nasi, tutashuka na kukununulia chakula.

Kisha baba yetu akanena, Rudini huko, mkatununulie chakula kidogo.

Kuwa na mali chache pamoja na kumcha BWANA; Ni bora kuliko mali nyingi pamoja na taabu.

Kiburi hutangulia uangamivu; Na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko.

Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.

Lakini mtu yeyote asiyewatunza walio wake, yaani, wale wa nyumbani mwake hasa, ameikana imani, tena ni mbaya kuliko mtu asiyeamini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo