Mwanzo 43:17 - Swahili Revised Union Version17 Yule mtu akafanya kama Yusufu alivyomwambia Naye akawaleta watu hao nyumbani mwa Yusufu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: Akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: Akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Msimamizi huyo akafanya kama alivyoagizwa: akawapeleka wale wageni nyumbani kwa Yosefu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani mwa Yusufu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yule Msimamizi akafanya kama Yusufu alivyomwambia na akawachukua wale watu nyumbani kwa Yusufu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Yule mtu akafanya kama Yusufu alivyomwambia Naye akawaleta watu hao nyumbani mwa Yusufu. Tazama sura |