Mwanzo 43:13 - Swahili Revised Union Version13 Mtwaeni na ndugu yenu, mwondoke na kurudi kwa mtu yule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Mchukueni pia ndugu yenu mwende kwa huyo mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Mchukueni pia ndugu yenu mwende kwa huyo mtu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Mchukueni pia ndugu yenu mwende kwa huyo mtu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Mchukueni ndugu yenu pia, mrudi kwa huyo mtu mara moja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Mchukueni ndugu yenu pia mrudi kwa huyo mtu mara moja. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Mtwaeni na ndugu yenu, mwondoke na kurudi kwa mtu yule. Tazama sura |