Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 42:31 - Swahili Revised Union Version

31 Tukamwambia, Tu watu wa kweli sisi, wala si wapelelezi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Lakini sisi tulimweleza kuwa sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Lakini sisi tulimweleza kuwa sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Lakini sisi tulimweleza kuwa sisi ni watu waaminifu, na wala si wapelelezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Lakini tulimwambia, ‘Sisi ni watu waaminifu, sio wapelelezi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Lakini tulimwambia, ‘Sisi ni watu waaminifu, sio wapelelezi.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 42:31
2 Marejeleo ya Msalaba  

Sisi sote ni wana wa mtu mmoja tu watu wa kweli sisi; watumwa wako si wapelelezi.

Sisi tu ndugu kumi na wawili, wana wa baba yetu. Mmoja hayuko, na mdogo wetu yuko pamoja na baba yetu leo katika nchi ya Kanaani.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo