Mwanzo 42:3 - Swahili Revised Union Version3 Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Hivyo ndugu kumi wa Yosefu wakaenda Misri kununua nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Ndipo ndugu kumi wa Yusufu wakateremka huko Misri kununua nafaka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Ndipo wale ndugu kumi wa Yusufu, wakateremka huko Misri kununua nafaka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Basi ndugu kumi wa Yusufu wakashuka Misri ili wanunue nafaka. Tazama sura |