Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 42:23 - Swahili Revised Union Version

23 Wala hawakujua ya kwamba Yusufu anawasikia, kwa sababu alizungumza nao kupitia kwa mkalimani.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Wao hawakujua kuwa Yosefu alielewa yote hayo waliyosema, maana alipoongea nao ilikuwa kwa njia ya mkalimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Wao hawakujua kuwa Yosefu alielewa yote hayo waliyosema, maana alipoongea nao ilikuwa kwa njia ya mkalimani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Wao hawakujua kuwa Yosefu alielewa yote hayo waliyosema, maana alipoongea nao ilikuwa kwa njia ya mkalimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Hawakujua kuwa Yusufu angewaelewa, kwa sababu alitumia mkalimani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Hawakujua kuwa Yusufu angewaelewa, kwa sababu alitumia mkalimani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Wala hawakujua ya kwamba Yusufu anawasikia, kwa sababu alizungumza nao kupitia kwa mkalimani.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 42:23
6 Marejeleo ya Msalaba  

Haya, na tushuke huko, tuwachafulie usemi wao ili wasisikilizane maneno wao kwa wao.

Reubeni akajibu, akawaambia, Sikuwaambia, nikisema, Msimkosee kijana? Wala hamkusikia; kwa hiyo tunadaiwa damu yake.

Akaenda kando, akalia. Kisha akawarudia, na kusema nao, akamtwaa Simeoni miongoni mwao, akamfunga mbele ya macho yao.

Na tazama, macho yenu yanaona, na macho ya ndugu yangu Benyamini, ya kwamba ni kinywa changu mimi kinachosema nanyi.

Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba ninyi kwa ajili ya Kristo mpatanishwe na Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo