Mwanzo 41:52 - Swahili Revised Union Version52 Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema52 Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND52 Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza52 Mwanawe wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Mungu amenipa watoto katika nchi ya mateso yangu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu52 Mwana wa pili akamwita jina Efraimu, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenistawisha katika nchi ya mateso yangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu52 Mwana wa pili akamwita Efraimu, akisema, “Ni kwa sababu Mungu amenistawisha katika nchi ya mateso yangu.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI52 Na wa pili akamwita jina lake Efraimu, maana alisema, Mungu amenipa uzazi katika nchi ya mateso yangu. Tazama sura |