Mwanzo 41:44 - Swahili Revised Union Version44 Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema44 Zaidi ya hayo, Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ndimi Farao! Nasema: Mtu yeyote katika nchi nzima ya Misri asiinue mkono wala mguu wake bila kibali chako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND44 Zaidi ya hayo, Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ndimi Farao! Nasema: Mtu yeyote katika nchi nzima ya Misri asiinue mkono wala mguu wake bila kibali chako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza44 Zaidi ya hayo, Farao akamwambia Yosefu, “Mimi ndimi Farao! Nasema: mtu yeyote katika nchi nzima ya Misri asiinue mkono wala mguu wake bila kibali chako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu44 Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Mimi ni Farao, lakini pasipo neno lako, hakuna mtu mwenye ruhusa kuinua mkono au mguu katika nchi yote ya Misri.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu44 Kisha Farao akamwambia Yusufu, “Mimi ni Farao, lakini pasipo neno lako, hakuna mtu mwenye ruhusa kuinua mkono au mguu katika nchi yote ya Misri.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI44 Farao akamwambia Yusufu, Mimi ni Farao, na bila amri yako, mtu asiinue mkono wala mguu katika nchi yote ya Misri. Tazama sura |