Mwanzo 41:41 - Swahili Revised Union Version41 Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Basi, sasa nakuteua rasmi kuwa mkuu wa nchi yote ya Misri!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Kwa hiyo Farao akamwambia Yusufu, “Sasa nakuweka uwe msimamizi wa nchi yote ya Misri.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Kwa hiyo Farao akamwambia Yusufu, “Sasa nakuweka uwe msimamizi wa nchi yote ya Misri.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI41 Farao akamwambia Yusufu, Tazama, nimekuweka juu ya nchi yote ya Misri. Tazama sura |