Mwanzo 41:33 - Swahili Revised Union Version33 Basi, Farao na ajitafutie mtu wa akili na hekima amweke juu ya nchi ya Misri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 “Kwa hiyo yafaa sasa, ee Farao, umteue mtu mwenye ujuzi na hekima, umpe jukumu la kuiangalia nchi yote ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 “Kwa hiyo yafaa sasa, ee Farao, umteue mtu mwenye ujuzi na hekima, umpe jukumu la kuiangalia nchi yote ya Misri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 “Kwa hiyo yafaa sasa, ee Farao, umteue mtu mwenye ujuzi na hekima, umpe jukumu la kuiangalia nchi yote ya Misri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 “Basi sasa Farao na atafute mtu mwenye akili na hekima ili amweke kuwa msimamizi wa nchi ya Misri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 “Basi sasa Farao na atafute mtu mwenye akili na hekima ili amweke kuwa msimamizi wa nchi ya Misri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI33 Basi, Farao na ajitafutie mtu wa akili na hekima amweke juu ya nchi ya Misri. Tazama sura |