Mwanzo 41:31 - Swahili Revised Union Version31 Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa kali sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Shibe hiyo itasahaulika kabisa kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Shibe iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Neema iliyokuwa katika nchi haitakumbukwa, kwa sababu njaa itakayofuata itakuwa kali mno. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Wala shibe ile haitajulikana katika nchi kwa sababu ya njaa inayokuja baadaye, maana itakuwa kali sana. Tazama sura |