Mwanzo 41:20 - Swahili Revised Union Version20 Na hao ng'ombe waliokonda, wabaya, wakawala wale ng'ombe saba wa kwanza, wale wanono. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Basi, wale ng'ombe waliokonda sana wakawala wale ng'ombe saba wanono. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Basi, wale ng'ombe waliokonda sana wakawala wale ng'ombe saba wanono. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Basi, wale ng'ombe waliokonda sana wakawala wale ng'ombe saba wanono. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Hao ng’ombe waliokonda na wabaya sana wakawala wale ng’ombe saba walionona waliojitokeza kwanza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Hao ng’ombe waliokonda na wabaya sana wakawala wale ng’ombe saba walionona waliojitokeza kwanza. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Na hao ng'ombe waliokonda, wabaya, wakawala wale ng'ombe saba wa kwanza, wale wanono. Tazama sura |