Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 4:24 - Swahili Revised Union Version

24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba, Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Ikiwa Kaini atalipizwa mara saba, kweli Lameki atalipizwa mara sabini na saba.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Ikiwa Kaini atalipizwa mara saba, kweli Lameki atalipizwa mara sabini na saba.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Ikiwa Kaini atalipizwa mara saba, kweli Lameki atalipizwa mara sabini na saba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kama Kaini atalipizwa kisasi mara saba, basi Lameki itakuwa mara sabini na saba.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

24 Kama Kaini akilipiwa kisasi mara saba, Hakika Lameki atalipiwa mara sabini na saba.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 4:24
2 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA akamwambia, Kwa sababu hiyo yeyote atakayemwua Kaini atalipizwa kisasi mara saba. BWANA akamtia Kaini alama, mtu amwonaye asije akampiga.

Yesu akamwambia, Sikuambii hata mara saba, bali hata saba mara sabini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo