Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 4:13 - Swahili Revised Union Version

13 Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imeniwia kubwa, haichukuliki.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Kaini akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Adhabu yangu ni kubwa mno; siwezi kuistahimili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Kaini akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Adhabu yangu ni kubwa mno; siwezi kuistahimili.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Kaini akamwambia Mwenyezi-Mungu, “Adhabu yangu ni kubwa mno; siwezi kuistahimili.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kaini akamwambia Mwenyezi Mungu, “Adhabu yangu ni zaidi ya ninavyoweza kustahimili.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kaini akamwambia bwana, “Adhabu yangu ni zaidi ya niwezavyo kustahimili.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imeniwia kubwa, haichukuliki.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 4:13
7 Marejeleo ya Msalaba  

utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na makao duniani.


Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi, nitasitirika mbali na uso wako, nami nitakuwa mtoro na mtu asiye na makao duniani; hata itakuwa kila anionaye ataniua.


Yeye hasadiki kwamba atarudi kutoka gizani, Naye hungojewa na upanga;


Yakupasa kupata adhabu ya uasherati wako, na machukizo yako, asema BWANA.


wakamtukana Mungu wa mbingu kwa sababu ya maumivu yao, na kwa sababu ya majipu yao; wala hawakuyatubia matendo yao.


Na mvua ya mawe kubwa sana, ya mawe mazito kama talanta, ikashuka kutoka mbinguni juu ya wanadamu. Wanadamu wakamtukana Mungu kwa sababu ya lile pigo la mvua ya mawe; kwa maana pigo lake ni kubwa mno.


Wanadamu wakaunguzwa na joto kali, nao wakalitukana jina la Mungu aliye na mamlaka juu ya mapigo hayo; wala hawakutubu wala kumpa utukufu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo