Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 4:12 - Swahili Revised Union Version

12 utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na makao duniani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Ukiilima ardhi haitakupatia tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga, asiye na makao maalumu duniani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Ukiilima ardhi haitakupatia tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga, asiye na makao maalumu duniani.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Ukiilima ardhi haitakupatia tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga, asiye na makao maalumu duniani.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Utakapoilima ardhi, haitakupa tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga duniani bila utulivu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Utakapoilima ardhi, haitakupa tena mazao yake. Utakuwa mtu wa kutangatanga duniani asiye na utulivu.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

12 utakapoilima ardhi haitakupa mazao yake; utakuwa mtoro na mtu asiye na makao duniani.

Tazama sura Nakili




Mwanzo 4:12
16 Marejeleo ya Msalaba  

Kaini akamwambia BWANA, Adhabu yangu imeniwia kubwa, haichukuliki.


Tazama, umenifukuza leo katika uso wa ardhi, nitasitirika mbali na uso wako, nami nitakuwa mtoro na mtu asiye na makao duniani; hata itakuwa kila anionaye ataniua.


Nchi ya matunda mengi ikawa uwanda wa chumvi, Kwa sababu ya uovu wa wakazi wake.


Kutanga na watange wanawe na kuomba, Watafute chakula mbali na mahame yao.


Aliyelemewa na damu ya mtu Atalikimbilia shimo; wala mtu asimzuie.


Mungu wangu atawatupilia mbali, kwa sababu hawakumsikiliza; nao watakuwa watu wa kutangatanga kati ya mataifa.


Shamba limeharibika, nchi inaomboleza; maana nafaka imeharibika, divai mpya imekauka, mafuta yamepunguka.


Nami nitauelekeza uso wangu kinyume chenu, nanyi mtapigwa mbele ya adui zenu; hao wawachukiao watatawala juu yenu; nanyi mtakimbia wakati ambao hapana awafukuzaye.


na nguvu zenu mtazitumia bure; kwa kuwa nchi yenu haitazaa mazao yake, wala miti ya nchi haitazaa matunda yake.


Tena hao wa kwenu watakaobaki, nitawatia woga mioyoni mwao, katika hizo nchi za adui zao; na sauti ya jani lililopeperushwa itawakimbiza; nao watakimbia, kama mtu akimbiavyo upanga; nao wataanguka hapo ambapo hapana afukuzaye.


Kwa maana viumbe vyote pia vilitiishwa chini ya ubatili; si kwa hiari yake, ila kwa sababu yake yeye atiyevitiisha katika tumaini;


Lakini itakuwa usipotaka kuisikiza sauti ya BWANA, Mungu wako, usiyaangalie kufanya maagizo yake yote na amri zake, nikuagizazo hivi leo, ndipo zitakapokujia laana hizi zote na kukupata.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo