Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 39:22 - Swahili Revised Union Version

22 Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliokuwemo gerezani; na yote yaliyofanywa humo, yeye ndiye aliyeyafanya.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Hivyo mkuu wa gereza alimweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa wote humo gerezani; kila kitu kilichofanyika humo kilifanywa kwa mamlaka yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Hivyo mkuu wa gereza alimweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa wote humo gerezani; kila kitu kilichofanyika humo kilifanywa kwa mamlaka yake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Hivyo mkuu wa gereza alimweka Yosefu awe mkuu wa wafungwa wote humo gerezani; kila kitu kilichofanyika humo kilifanywa kwa mamlaka yake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Kwa hiyo msimamizi wa gereza akamweka Yusufu awe mkuu wa wafungwa pamoja na kusimamia yote ambayo yalitendeka mle gerezani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Kwa hiyo msimamizi wa gereza akamweka Yusufu awe mkuu wa wafungwa pamoja na kusimamia yote ambayo yalitendeka mle gerezani.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

22 Mkuu wa gereza akawatia mkononi mwa Yusufu watu wote waliofungwa, waliokuwemo gerezani; na yote yaliyofanywa humo, yeye ndiye aliyeyafanya.

Tazama sura Nakili

Mwanzo 39:22
8 Marejeleo ya Msalaba  

Bwana wake akamtwaa Yusufu, akamtia gerezani, mahali wafungwa wa mfalme walimokuwa wamefungiwa, naye akawa humo gerezani.

Yusufu akaona neema machoni pake, akamtumikia. Naye akamweka kuwa msimamizi wa nyumba yake, na yote yaliyomo akayaweka mkononi mwake.

Hakuna mkuu katika nyumba hii kuliko mimi, wala hakunizuilia kitu chochote ila wewe, kwa kuwa wewe u mkewe. Nifanyeje ubaya huu mkubwa nimkosee Mungu?

Bali wenye upole watairithi nchi, Watajifurahisha kwa wingi wa amani.

Umtumaini BWANA ukatende mema, Ukae katika nchi, upendezwe na uaminifu.

Kwa sababu hiyo, BWANA, Mungu wa Israeli, asema, Ni kweli, nilisema ya kuwa nyumba yako, na nyumba ya baba yako itakwenda mbele zangu milele; lakini sasa BWANA asema, Jambo hili na liwe mbali nami; kwa maana wao wanaoniheshimu nitawaheshimu, na wao wanaonidharau nitawadharau.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo