Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Mwanzo 39:13 - Swahili Revised Union Version

13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Hapo, yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu ameliacha vazi lake mikononi mwake na kukimbilia nje,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Hapo, yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu ameliacha vazi lake mikononi mwake na kukimbilia nje,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Hapo, yule mwanamke alipoona kwamba Yosefu ameliacha vazi lake mikononi mwake na kukimbilia nje,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Yule mwanamke alipoona kwamba Yusufu amemwachia vazi lake mkononi na kukimbilia nje ya nyumba,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Yule mwanamke alipoona kwamba Yusufu amemwachia vazi lake mkononi na kukimbilia nje ya nyumba,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Ikawa alipoona ya kwamba amemwachilia nguo yake mkononi mwake, naye amekimbia nje,

Tazama sura Nakili

Mwanzo 39:13
2 Marejeleo ya Msalaba  

huyo mwanamke akamshika nguo zake, akisema, Lala nami. Yusufu akaiacha nguo yake mkononi mwake, akakimbia, akatoka nje.

akawaita watu wa nyumbani mwake, akasema nao, akinena, Angalieni, ametuletea mtu Mwebrania atufanyie dhihaka. Ameingia kwangu ili alale nami, nikalia kwa sauti kuu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo