Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 37:16 - Swahili Revised Union Version

16 Akasema, Nawatafuta ndugu zangu; tafadhali uniambie mahali wanakochunga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Yosefu akamjibu, “Ninawatafuta ndugu zangu. Tafadhali, niambie mahali wanakochunga wanyama.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Yosefu akamjibu, “Ninawatafuta ndugu zangu. Tafadhali, niambie mahali wanakochunga wanyama.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Yosefu akamjibu, “Ninawatafuta ndugu zangu. Tafadhali, niambie mahali wanakochunga wanyama.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Akamjibu, “Ninawatafuta ndugu zangu. Unaweza kuniambia wanachunga wapi makundi yao?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Akajibu, “Ninawatafuta ndugu zangu. Unaweza kuniambia wanachunga wapi makundi yao?”

Tazama sura Nakili




Mwanzo 37:16
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mmoja akamkuta, naye alikuwa anazungukazunguka katika nyika; yule mtu akamwuliza, akisema, Unatafuta nini?


Yule mtu akasema, Wametoka hapa, maana niliwasikia wakisema, Twendeni Dothani. Basi Yusufu akawafuata ndugu zake akawakuta huko Dothani.


Nijulishe, ee mpendwa wa nafsi yangu, Ni wapi utakapolisha kundi lako, Ni wapi utakapolilaza adhuhuri. Kwa nini niwe kama aliyefungiwa shela, Karibu na makundi ya wenzako?


Kwa kuwa Mwana wa Adamu alikuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo