Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Mwanzo 37:15 - Swahili Revised Union Version

15 Mtu mmoja akamkuta, naye alikuwa anazungukazunguka katika nyika; yule mtu akamwuliza, akisema, Unatafuta nini?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 mtu mmoja akamkuta akitangatanga mbugani, akamwuliza, “Unatafuta nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 mtu mmoja akamkuta akitangatanga mbugani, akamwuliza, “Unatafuta nini?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 mtu mmoja akamkuta akitangatanga mbugani, akamwuliza, “Unatafuta nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 mtu mmoja akamkuta akizungukazunguka mashambani, akamuuliza, “Unatafuta nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 mtu mmoja akamkuta akizungukazunguka mashambani na akamuuliza, “Unatafuta nini?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Mtu mmoja akamkuta, naye alikuwa anazungukazunguka katika nyika; yule mtu akamwuliza, akisema, Unatafuta nini?

Tazama sura Nakili




Mwanzo 37:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.


Akamwambia, Nenda, basi, ukaone kama ndugu zako hawajambo, na kundi nalo li salama, ukaniletee habari. Basi akamtuma kutoka bonde la Hebroni, na akafika Shekemu.


Akasema, Nawatafuta ndugu zangu; tafadhali uniambie mahali wanakochunga.


Elisha akawaambia, Njia hii siyo, na mji huu sio, nifuateni mimi, nami nitawapeleka kwa mtu yule mnayemtafuta. Akawapeleka Samaria.


Yesu aligeuka, akawaona wakimfuata, akawaambia, Mnatafuta nini? Wakamwambia, Rabi, (maana yake, Mwalimu), unakaa wapi?


Basi Yesu, huku akijua yote yatakayompata, akatokea, akawaambia, Ni nani mnayemtafuta?


Basi akawauliza tena, Mnamtafuta nani? Wakasema, Yesu Mnazareti.


Yesu akamwambia, Mama, unalilia nini? Unamtafuta nani? Naye, huku akidhania ya kuwa ni mtunza bustani, akamwambia, Bwana, ikiwa umemchukua wewe, uniambie ulipomweka, nami nitamwondoa.


Mara hiyo wakaja wanafunzi wake, wakastaajabu kwa sababu alikuwa akisema na mwanamke; lakini hakuna aliyesema, Unatafuta nini? Au, Mbona unasema naye?


Na tazama, Baraka alipokuwa akimfuatia Sisera; Yaeli akatoka ili kumlaki, akamwambia, Njoo, nami nitakuonesha yule mtu unayemtafuta. Basi akamwendea, na tazama, Sisera amelala humo, amekufa, na hicho kigingi kilikuwa kipajini mwake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo